Nimeoneshwa kuwa ni mwenzi wangu!!

subiri siku ukiota umetokewa na popobawa ndiyo somo litaeleweka vizuri..
 
nyc stori
 
Km ni wako ulopewa na mungu, mungu atawaunganisha 2 muda ukifika! Kila jambo na wkt wake. Hamna haja ya kuharakisha cha msing muombe mungu awalinde na majaribu.
 

hata shetani ana tabia ya kuwaotesha watu ndoto. Kazi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…