James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Habari WanaJF,
Siku chache zilizopita niliota nimepigwa risasi,na hakika nikaiona mauti, na hata nilipoamka baada ya ndoto, nilikuwa nikiyajua maumivu ya mauti yalivyo.
Suala hili mpaka sasa linanitesa, najua wengi mlishawah kuota mmekufa, lakini je, maumivu ya mauti.. Yaani kukata roho mliyajua yalivyo?
Je, mnaweza kuyaelezea yalivyo? Kwangu mimi niliyaona na ninayajua maumivu ya mauti.
Nisiwachoshe, naomba mnisaidie nini maana ya ndoto hii?.
Sad Update
Baada ya mda kupita,nikiwa nimeota ndoto hii,
Niliachana na mke wangu,and it was very painful in myheart and mysoul..kwa wale mliofatilia thread zangu nilizopost nikiwa south africa,nadhan mtakuwa mnafaham kilichotokea.
Bt thankx to God in all.msidharau ndoto