Nimeonja uchungu wa mauti ndotoni - Je, nini maana ya hii Ndoto?

Nimeonja uchungu wa mauti ndotoni - Je, nini maana ya hii Ndoto?

hakuna ataekuelewa mpaka tulioyapitia hayo,kwakuunga mkono tu maumivu ya risasi mtu ayapatao na hasa anaekupiga ukimjua utamuogopa sana ukiamka maana risasi inauma hakuna mfano,hakuna ataekuelewa ila umebeba mengi maana tayari wewe ni sehemu ya mlinzi wa d...iliandikwa mtabatizwa kwa moto ...narudia hakuna ataekuelewa mpaka walioyapitia niliwahi kuuliza humu huenda secret service wanawasiliana kwa ndoto?sikupata jibu wala kueleweka ila tambua wengi wameshaota na kuhisi maumivu ya risasi pia niliwahi kuandika huenda kuna watu wameishaiona nuru na wanaishi kama ilivyoandikwa wapo wataouona ufalme wa Mungu sikueleweka hapo ndio upate picha kwanini wayahudi huwasiliana kwa namna isioeleweka
 
kaka nimekusoma,ila kiukwel kuna siri
 
Habari WanaJF,

Siku chache zilizopita niliota nimepigwa risasi,na hakika nikaiona mauti, na hata nilipoamka baada ya ndoto, nilikuwa nikiyajua maumivu ya mauti yalivyo.

Suala hili mpaka sasa linanitesa, najua wengi mlishawah kuota mmekufa, lakini je, maumivu ya mauti.. Yaani kukata roho mliyajua yalivyo?

Je, mnaweza kuyaelezea yalivyo? Kwangu mimi niliyaona na ninayajua maumivu ya mauti.

Nisiwachoshe, naomba mnisaidie nini maana ya ndoto hii?.

Usihofu
Hiyo ni astral plane inafanya Kazi tu
Hakuna u kweli Katika uliyoexperience
Yatapotea tu
Kama unaweza ku feel mauti Sasa Basi unaweza ku feel the way ulivokuwa kabla hujazaliwa
 
Kaka mkristu na upo dar kkkt kariakoo nenda ukamuone mchungaji Kimaro atakuombea maana kuna mauti ya ukweli inakunyemelea
hakuna cha maombezi hapo labda Muumba mwenyewe amuelekeze huko,elewa kuwa ndoto hiyo ya risasi ipo na kama sikosei aliota anapigwa miguuni au mapajani c chini ya nane au zaidi na maumivu aliyoyahisi huenda ni zaidi ya risasi au sawa sawa na ukiwa nje ya ndoto,niliwahi andika wapo waliochomwa moto wa jehanamu na wakaanza upya tena kwa miaka maelfu ndani ya usiku mmoja ndo maana unaambiwa Mungu ndie msanii mkuu maana yake yeye ameandaa ndoto na anakuotesha atakavyo na anaandaa kwa kila kiumbe duniani.rejea nilichoandika juu ya nafsi tatu kuwa kuna watu wameongea na Muumba sema hawawezi kujitukuza maana wapo wenye imani kwa miaka wakisikia wanaweza hata kukudhulu maana tumefuata andiko lisemalo au Mungu mwenyewe alisema yeye ni Mungu mwenye wivu ndio maana watu wanakausha maana na sie tu wenye wivu,ila rejea mahojiano ya askofu kakobe ktk gazeti la kiu au ijumaa kama sikosei ameyasema haya na sina shaka nae hata kidogo kuwa anajua siri zote hizi za Muumba.
 
kaka mwibamwiba,ni kwel ilikuwa mida hyo ya saa nane,na hata nilipotoa kwenye ndoto na kuamka nilikuwa bado nayahs maumivu na kufaham picha halis ilivyokuwa.ule uchungu nilioupata kwenye ndoto ndo ule ule nilikuwa nikiusikia,yaan ni sawa na mtu aliyekuwa akivuja dam kwenye kidonda na baada ya mda dam iliacha ktoka lakn maumiv aliyoyasikia wakat anaumia bdo anayafaham.
 
ndio maana nakwambia kidunia ni ndoto za maono ni dalili mojawapo ya ugonjwa wa akili ila kiukweli kuna siri nzito,maana unachosema hakuna hata chembe ya uongo kuna watu wameoteshwa na kuuona upepo unavyong'aa na hakuna ubishi ndio wenyewe mng'ao ambao ukiuona utahofu mana ni kama barafu,juu ya kukata roho hakuna ubishi ndivyo watu wanavyoodedigi sasa ungeona namna nguvu tunayoshika juu mbiguni inavyoondolewa wakati wa kukata roho ungeamini mwenye dunia yupo mana ni kama unabanduliwa pasta ktk kila sehemu yaani vidole vikibanduliwa au nguvu hiyo ikitolewa huwezi hata kukitikisa kifupi kuna siri nzito na tumeshikwa na nguvu toka juu ndio maana wanaokata roho wengine ukiona kifo na kupiga kelele hakuna ubishi Mungu yupo,ndio maana nakwambia angalia sana move ya spider yule mtu anaeruka ktk maghorofa na kuokoa watu ndivyo malaika watendavyo kazi sema hawaonekani na mfano huohuo ndio maana muigizaji yule hajaonesha sura ingawa nje ya uigizaji unamuona pale ni mfano wa malaika kifupi ni
 
yani unaweza kuwa upo unatembea usiku kurudi nyumbani ama kwa baiskeli,miguu au gari kisha ukashangaa mbona nilikuwa nipo njiani bado na kituo fulani sijakipita lakini nimefika nyumbani?au ukajijua kabisa nimetumia mda mfup sana kutoka mjini mpaka nyumbani,yani kama unakuwa hujiamini kama unaota vile,hapo wao wamekupaisha na wakati huo unakuwa kama unaotaota hivi,kamwe si wachawi,au unakuwa ktk chombo cha moto na kuona ajali kabisa umeikaribia ila baada ya muda unakuwa hujui mtu ulietaka kumgonga ulimkwepaje kumbe spider really huwasogeza pembeni,au unasogezwa ktk hali ambayo hujui umeponajeponaje,wapo unaongea nao sema hatusikii na mwisho ni wao watakaotupumzisha na wanaumia sana,rejea move ya kizungu ya angel mfano hai,unaweza kuwa darasani mwl akauliza swali,kabla alijajibiwa ukajikuta ktk nafsi kibu unalo ila ukawa unasita kulitoa au kunyoosha mkono,mwingine akajibu sawa sawa na ulivyokuwa umewazishwa,akapigiwa makofi nsana mwisho ukajilaumu,kumbe mazingira hayo hutengenezwa na hata wakati mwingine hali hiyo yaweza jirudia na ukapigiwa wewe makofi ndio maana wanasema sifa na utukufu ni wake sisi hutungenezewa tu,duniani kuna vita mbili ktk maisha nayoonekana na isiyoonekana,amini ktk kila taifa wapo walinzi wa watu wanaoonekana na wasioonekana ,si ajabu leo kiongoz fulani akaoneshwa picha ya mtu fulani kwa tukio lolote lile iwe muimbaji au muigizaji ambae hajawahi kumuona kabisa ila akawajibu wasaidizi wake kuwa anamjua na amekwisha kaa nae na kuongea nae,watu wakashangaa rejea nilichoandika mpaka leo dunia haijajua ni namna gani Jews wanaonana
 
Umenikumbusha mimi baada ya kutoka ukumbini kwenye harusi yangu, tulipoenda hotelini ile Napata usingizi kidogo tu niliona jitu jeusi na matambara na matunguri linaingia huku likija pale kitandani.
Kwa hasira na ghadhabu niliamka na kupiga kelele "kuna mtu kaingia humu ndani"" nikakimbilia kuwasha taa lakini sikuona mtu.
Baada ya hapo tulilala na hakukutokea shida tena....... a month later familia ikapata msiba wa baba. Ilikuwa majonzi sana ila huwa sielewi kama hii kitu ilikuwa ina connection na hii ndoto.
Duniani kuna mambo aisee!
 
Jiweke karibu na Mungu, maana hatujui muda wala saa
 
Habari WanaJF,

Siku chache zilizopita niliota nimepigwa risasi,na hakika nikaiona mauti, na hata nilipoamka baada ya ndoto, nilikuwa nikiyajua maumivu ya mauti yalivyo.

Suala hili mpaka sasa linanitesa, najua wengi mlishawah kuota mmekufa, lakini je, maumivu ya mauti.. Yaani kukata roho mliyajua yalivyo?

Je, mnaweza kuyaelezea yalivyo? Kwangu mimi niliyaona na ninayajua maumivu ya mauti.

Nisiwachoshe, naomba mnisaidie nini maana ya ndoto hii?.
Hii ndoto mm nishaota sio maramoja ni mara nyingi sana. Na kuna ingine huwa naota naendesha kitu kama baiskeli ila hakionekani na kila nikipedal napaa angani huku nikifukuzwa na wabaya wangu ambao sijawatambua hadi leo. Na huwa nafanikiwa kuwakimbia kwa njia hiyo. Ila shida huwa nguzo za umeme huwa zinanipa shida kuzikwepa zile waya na mara ingine huwa nazipita jirani sana.
 
samhani kwani wewe unahisi uko kwenye mazingira ambayo unaweza pigwa risasi,labda kwa mfano Mungu amekubariki una uwezo?au ni askari ?Chochote kinaweza tokea usijekuta tunaelekea kwenye uchaguzi ukapigwa risasi kwenye mambo ya kampeni.
Usihofu ndoto hutumika wakati mwingine kukufahamisha juu ya mambo yanayokuja,sasa cha kufanya ni kutubu kwanza then nenda mbele ya Mungu aliye hai umwombe hiyo ndoto isitokee.Incase ulikuwa hujui mambo yote huanzi katika ulimwengu huo usioonekana(ulimwengu wa roho) na baadaye hutokea.Ikiwezekana funga na kuomba,maombi ya usiku wa manane for 7days.Na usiache kumwomba Mungu kama jibu hujapata,omba akuambie maana ya hiyo ndoto ni nini.
Niliota kitu ,sikujua kuzuia kikatokea.
Kama jina lako lilivyo investigate it in the spiritial world
Umemuuliza maswali mazuri Mkuu pia ajiulize kama anatembea na wake za watu aache Mara moja mana ni hatari .Mla huliwa
 
Back
Top Bottom