Nimeonta ndoto ya ajabu muda huu

Nimeonta ndoto ya ajabu muda huu

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Ikiwa majira ya saa mbili na dakika ishirini katika mfumo wa saa ishirini na nne.
ghafla kandoto kananijia naona mafuriko makubwa yakihama upande mmoja na kuelekea upande mwingine.
ghafla namuona mchungaji anakusanya ng'ombe,mbuzi na kondoo wake na kuwapeleka kule mafuriko yanakoelekea.
ghafla mchunga kondoo anamfata mlima majani na kumwambia "SIKU ZOTE NG'OMBE HULA MAJANI YALOTUNZWA NA MKULIMA,ILA NYUMBU HUWAKIMBILIA PUNDA MLIA ILI WAMUONYESHE NJIA ILIPO"
Ghafla naona watu makundi kwa makundi wakimbia mlima majani kwa kudai kuwa ameshindwa kulima majani kwa ajili ya mifugo yake na badala yake analima miba.

MSAADA=wajuzi wa ndoto nitafsirieni.
 
Huwezi elewa kama si mtaalamu wa ndoto
 
Kwani ata saa yako ingekua mfumo wa saa kumi na mbili sa ingebadilika[emoji19]
 
ndoto yako imekaa kiimani sana, nakushauri waone wachungaji wa kiroho haswa walokole watakusaidia.

ONYO: ISIWE CHAI
 
Back
Top Bottom