Nimeota anayeonekana kwa picha ya profile yangu kaukwaaa

Nimeota anayeonekana kwa picha ya profile yangu kaukwaaa

kaseva

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
473
Reaction score
305
Ndoto itatimia? Maana nimekuwa nikimkubali kweli jamaa
 
Custom Avatar?????????????????????
trump.jpg
mhhhhh!!!!!!!!!!!!
 
Kwa jinsi Mjaluo anahangika wiki hii ya mwisho wa kampeni, yawezekana kanusa hatari Republican waweza chukua. Maana Obama kageuka na kuwa kama wanasiasa wa Afrika!!
 
Nilijua kutabiri mazeee
Tiririkeni mniuleze tarehe za kufa kwenu mjiandae
 
Back
Top Bottom