Mkuu unazi wangu unasimamaga kwenye ukweliIngawa wewe ni mnazi mkubwa wa CCM hata katika mambo ya haram hapa leo nakusifu!
Kwi! Kwi! Kwi!Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amung'amu sana, nimeota Man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya Sevilla huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa Sevilla wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa Old traford.
Mkuu unazi wangu unasimamaga kwenye ukweli