Nimeota Man Utd ametolewa kwenye UEFA

Nimeota Man Utd ametolewa kwenye UEFA

Kuna siku niliwaambia washabiki wenzangu wa Man U kule kwenye uzi wetu kuwa Jose Mourinho ni kikwazo kwa timu kusonga mbele walinijia juu sana.
 
Hapa kazi
IMG_20180314_183054.jpg
 
Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amung'amu sana, nimeota Man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya Sevilla huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa Sevilla wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa Old traford.
Kwi! Kwi! Kwi!
 
Wewe!
Rudi kule, kalale tena urwkebishe lindoto lako haraka.
 
Back
Top Bottom