Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
 
Pole sana!

Tubu na omba rehema.

Hilo ni pepo la kifo au huitwa jini maiti linaandaliwa.

Anza kwenda kanisani, shiriki ibada zote, namaanisha zile za katikati ya week sio jpili tu.

Toa sadaka ya kuvunja madhabahu, then anza kutoa 10% @ month
Shiriki ibada za usiku/mkesha.

Kila mwezi uwe unafunga sio chini ya siku 3
 
Asante nashukuru
 
Acha uzwazwa. Kwanini hukumuuliza yeye atakufa lini? Bado mnaamini hawa mashetani na wachunaji aka wahubiri wa kutenda miujiza isiiyokuwapo isipokuwa kuwaibia mazwazwa waliokata tamaa?
 
Pole sana!

Tubu na omba rehema.

Hilo ni pepo la kifo au huitwa jini maiti linaandaliwa.

Anza kwenda kanisani, shiriki ibada zote, namaanisha zile za katikati ya week sio jpili tu.

Toa sadaka ya kuvunja madhabahu, then anza kutoa 10% @ month
Shiriki ibada za usiku/mkesha.

Kila mwezi uwe unafunga sio chini ya siku 3
Mkuu kipengele cha sadaka naona umekielezea kwa uzito wake na Asilimia juu
 
Ndoto ambazo zina-link na hatima yako huwa zipo symbolic

Hizo unazoota unauliwa zinatoka ktk ufahamu wa kina

Jaribu Ku reprogram ufahamu wako wa kina hizo ndoto zitakoma.
 
Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
Usipomuomba Mungu sana,utakufa kweli

Nenda makanisa ya walokole
 
Mkuu kipengele cha sadaka naona umekielezea kwa uzito wake na Asilimia juu
Unajua kwanini?
Wanaologa hutoa sadaka/kafara pia, tena wanazingatia kinoma.
Kuna siri kubwa SANA katika sadaka, ingia google usome hutaamini!
 
Pole sana!

Tubu na omba rehema.

Hilo ni pepo la kifo au huitwa jini maiti linaandaliwa.

Anza kwenda kanisani, shiriki ibada zote, namaanisha zile za katikati ya week sio jpili tu.

Toa sadaka ya kuvunja madhabahu, then anza kutoa 10% @ month
Shiriki ibada za usiku/mkesha.

Kila mwezi uwe unafunga sio chini ya siku 3
Ushuzi mtupu umeshauri.
 
Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
Mtu wako wa karibu ,rafiki au Ndugu ,atakufa hivi karibuni.
 
Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
Yes,
that is an arlet for you to wake up,

hiyo ni Roho ya mauti inakuzonga wewe, familia na ukoo wako wote.

ni muhimu sana kujikita katika sala, maombi na maombezi, kukemea pepo na roho hiyo ya mauti kukuzengea zengea,
.
Ukizembea Likakushinda nguvu, and you will be no more my friend.

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe daima,

Aimen 🙏
 
Hatakiwi kulegeza kamba kabisa, hii situation matokeo yake ni baada ya siku 300 - 365

Akikaza kamba kumtafuta MUNGU kuanzia sasa atasalimika 100%
 
Back
Top Bottom