Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

Ni mganga wako, mmedhulumiana?

Maana Si ndoto hiyo, alikujia live kichawi.
 
Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki
Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
Sasa we ushaambiwa utakufa nin tena unahitaji, subiri tu kufa
 
Back
Top Bottom