R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Dec 24, 2024 #21 Ni mganga wako, mmedhulumiana? Maana Si ndoto hiyo, alikujia live kichawi.
Y Young fadson JF-Expert Member Joined Nov 6, 2017 Posts 1,177 Reaction score 1,406 Dec 24, 2024 #22 FK21 said: Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema Click to expand... Sasa we ushaambiwa utakufa nin tena unahitaji, subiri tu kufa
FK21 said: Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema Click to expand... Sasa we ushaambiwa utakufa nin tena unahitaji, subiri tu kufa