ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu sasa leo mapema alfajiri ikanijia ndoto kama unavyojua ndoto mwili unahisi kitu una ki perform live.
Tukaanza Kwanza kusafisha eneo tukiwa ndani ya kifaru tukiwa na wakuu wetu tukawakimbiza waasi nadhani ndoto location yake Ilikuwa huko mipakani karibu na Burundi. Sasa ikafika zamu ya kifaru hakiendelei wakubwa hawaendelei inabidi tuingie sisi msituni kwenda kupambana nao cha ajabu eti hatupewi bunduki silaha ni makwanja halafu hayajanolewa. Nashangaa wenzangu wako na vibe kabisa wanaimba nyimbo za ushujaa. Nilivyokabidhiwa tu kwanja langu na kuliona lilivyo butu ghafla nikashtuka fasta usingizini.
Mbona ndoto za kula Mihogo na chachandu na juice huwa sishtuki maana yake ni kwamba wanajeshi ni kazi ngumu Sana labda kuliko zote hasa ukipangiwa mission ambayo unaingia frontline kwenye battlefield hujui maadui zako wamejipanga vipi.
Kufa sio mchezo ndugu zangu mimi Kiukweli ningekuwa mwanajeshi ningesanda vitani ningetoroka kama wale wa Congo waliohukumiwa walivyokimbia vita. Mtu uone kabisa mmezidiwa nguvu eti ubaki kupambana. Hapana Kwa kweli mtanisamehe mimi hata kwa Iddi amini nisingejitolea kupigana ningekimbia nikakae maporini huko na wanyama nijifiche peke yangu siwezi kupigania ardhi mimi.