Nimeota mtu kapanda basi na kuku aliyekufa

Nimeota mtu kapanda basi na kuku aliyekufa

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku, nilipomuangalia yule kuku kumbe alikuwa amekufa. Nikamuuliza mbona umebeba kuku mfu, akawa hana majibu.

Basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu, jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.😭

Ndoto hii imenitafakarisha sana.
 
Sio DeepPond huyo mzee? Huyo kuku aliliwa jana huko nyumban kwa mama G na amezua hofu kubwa hawajalala wakihofia na kulinda roho zao 😅
😀 😀😀😀😀 Tena kaliwa Kwa mbwembwe na wengine wakawa wanawaziba wenzao midomo wasiseme wakati wa kula. Mama G. akawa anawatoa hofu Wana familia kuwa Kibudu hakina madhala yoyote wale Kwa kujinafasi.
 
Dhambi ya Ben Saanane itakuandama sana wewe na kizazi chako mpaka cha nne.

Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku nilipo mwangalia yule kuku kumbe amekufa nikamuuliza mbona umebeba kukumfu? Aka hana majibu basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.😭
Ndoto hii imenitafakarisha sana
 
😀 😀😀😀😀 Tena kaliwa Kwa mbwembwe na wengine wakawa wanawaziba wenzao midomo wasiseme wakati wa kula. Mama G. akawa anawatoa hofu Wana familia kuwa Kibudu hakina madhala yoyote wale Kwa kujinafasi.
Maakosha Kama ni kuchunga na achunge jamaa yetu(in dj afro voice).
Hofu kubwa imetanda huko kwa mama G sijui wameamka salama!
 
Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku nilipo mwangalia yule kuku kumbe amekufa nikamuuliza mbona umebeba kukumfu? Aka hana majibu basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.😭
Ndoto hii imenitafakarisha sana
Ccm inakula nyamafu
 
kuna watu unatembea nao kwenye maisha yako lakini wamebeba mzoga(Roho chafu) na usipokuwa makini watakupaka harufu utanuka(AIbu ipo mbele yako) kuwa makini
Ila jamaa alishuka kwenye basi na kuku wake kibudu. Which mean sikuendelea naye kwenye safari
 
😀 😀😀😀😀 Tena kaliwa Kwa mbwembwe na wengine wakawa wanawaziba wenzao midomo wasiseme wakati wa kula. Mama G. akawa anawatoa hofu Wana familia kuwa Kibudu hakina madhala yoyote wale Kwa kujinafasi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]he he he....nmecheka hatar
 
Screenshot_20230530-181011.png
 
Back
Top Bottom