π ππππ Tena kaliwa Kwa mbwembwe na wengine wakawa wanawaziba wenzao midomo wasiseme wakati wa kula. Mama G. akawa anawatoa hofu Wana familia kuwa Kibudu hakina madhala yoyote wale Kwa kujinafasi.Sio DeepPond huyo mzee? Huyo kuku aliliwa jana huko nyumban kwa mama G na amezua hofu kubwa hawajalala wakihofia na kulinda roho zao π
Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku nilipo mwangalia yule kuku kumbe amekufa nikamuuliza mbona umebeba kukumfu? Aka hana majibu basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.π
Ndoto hii imenitafakarisha sana
Maakosha Kama ni kuchunga na achunge jamaa yetu(in dj afro voice).π ππππ Tena kaliwa Kwa mbwembwe na wengine wakawa wanawaziba wenzao midomo wasiseme wakati wa kula. Mama G. akawa anawatoa hofu Wana familia kuwa Kibudu hakina madhala yoyote wale Kwa kujinafasi.
Ccm inakula nyamafuJamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku nilipo mwangalia yule kuku kumbe amekufa nikamuuliza mbona umebeba kukumfu? Aka hana majibu basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.π
Ndoto hii imenitafakarisha sana
Neno zito sana hili Mkuu πkuna watu unatembea nao kwenye maisha yako lakini wamebeba mzoga(Roho chafu) na usipokuwa makini watakupaka harufu utanuka(AIbu ipo mbele yako) kuwa makini
Ila jamaa alishuka kwenye basi na kuku wake kibudu. Which mean sikuendelea naye kwenye safarikuna watu unatembea nao kwenye maisha yako lakini wamebeba mzoga(Roho chafu) na usipokuwa makini watakupaka harufu utanuka(AIbu ipo mbele yako) kuwa makini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]he he he....nmecheka hatarπ ππππ Tena kaliwa Kwa mbwembwe na wengine wakawa wanawaziba wenzao midomo wasiseme wakati wa kula. Mama G. akawa anawatoa hofu Wana familia kuwa Kibudu hakina madhala yoyote wale Kwa kujinafasi.
Usijifariji roho ya Gundu itakutafuna maana kibudu ulikikodolea kabisaIla jamaa alishuka kwenye basi na kuku wake kibudu. Which mean sikuendelea naye kwenye safari