Saoka
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 441
- 643
Habari wakuu,
Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili wananikimbilia speed namimi nikaanza mbio kule mbele yupo Simba nae anakuja speed daah kwakweli niliishiwa pozi maana wote walikuwa wamenizunguka sasa hapo nikajikuta nimeshtuka na usingizi wote ukaishia hapo.
Wakuu mwenye kujua nini maana ya hii ndoto anisaidie tafsiri yake maana sio mara moja kuota ndoto za namna hii.