Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho ulishtuka, haukuliwa na Simba, ina maana utapitia changamoto kubwa, ili ukipambana mwisho wa siku utashinda.Habari wakuu,
Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili wananikimbilia speed namimi nikaanza mbio kule mbele yupo Simba nae anakuja speed daah kwakweli niliishiwa pozi maana wote walikuwa wamenizunguka sasa hapo nikajikuta nimeshtuka na usingizi wote ukaishia hapo.
Wakuu mwenye kujua nini maana ya hii ndoto anisaidie tafsiri yake maana sio mara moja kuota ndoto za namna hii.
Kumbe eeh?hizi ndoto za simba naota mara nyingi nyingi sana..sikujua kama tafsiri yake ni ulimwengu wa gizaMbwa ni roho ya uzinzi, na Simba ni ulimwengu wa giza(ufalme wa shetani) hivyo Kuna uharibifu umepangwa katika maisha yako chukua hatua ya kukemea hiyo ndoto
Wachawi wameshamuuqKuna ndugu yangu ndoto hiyo ya kufukuzwa na simba ilimtesa sana alikua nalia usiku ukimuuliza naota simba wananifukuza,baaada yahapo akaota amekufa hakumaliza hata miaka miwili akafa. Kwahyo kama kanisani nenda