Utafumaniwa na mkeo na mume wa hawara yako, utawekwa mtukati.Habari wakuu,
Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili wananikimbilia speed namimi nikaanza mbio kule mbele yupo Simba nae anakuja speed daah kwakweli niliishiwa pozi maana wote walikuwa wamenizunguka sasa hapo nikajikuta nimeshtuka na usingizi wote ukaishia hapo
Wakuu mwenye kujua nini maana ya hii ndoto anisaidie tafsiri yake maana sio mara moja kuota ndoto za namna hii
Mbwa kwenye ulimwengu wa roho ina maana Roho ya uzinzi inakunyemelea ili ikumalize.Habari wakuu,
Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili
Pole mkuuHabari wakuu,
Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili wananikimbilia speed namimi nikaanza mbio kule mbele yupo Simba nae anakuja speed daah kwakweli niliishiwa pozi maana wote walikuwa wamenizunguka sasa hapo nikajikuta nimeshtuka na usingizi wote ukaishia hapo
Wakuu mwenye kujua nini maana ya hii ndoto anisaidie tafsiri yake maana sio mara moja kuota ndoto za namna hii
Mbwa ni roho ya uzinzi, na Simba ni ulimwengu wa giza(ufalme wa shetani) hivyo Kuna uharibifu umepangwa katika maisha yako chukua hatua ya kukemea hiyo ndotoHabari wakuu,
Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili wananikimbilia speed namimi nikaanza mbio kule mbele yupo Simba nae anakuja speed daah kwakweli niliishiwa pozi maana wote walikuwa wamenizunguka sasa hapo nikajikuta nimeshtuka na usingizi wote ukaishia hapo.
Wakuu mwenye kujua nini maana ya hii ndoto anisaidie tafsiri yake maana sio mara moja kuota ndoto za namna hii.