Nimeota nakimbizwa na kichaa wa kiume aliyebeba Jiwe

MOSHI UFUNDI

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2022
Posts
526
Reaction score
1,222
Hii ndoto itakuwa na maana gani?

Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa nasema huyu simtambui kabisa ndio kwanza tumeonana leo.

Muda nilikuwa nakimbia Suruali yangu ilikuwa imekaa vibaya hivyo nilikuwa nakimbia kwa shida lakini pia nilikuwa nimevaa begi lenye uzito.

Mshana Jr
Rakims
 
siku ingine uwe unasali ndo unalala

ngoja wataalam waje
 
Unapoenda kulala vua suruali. usile sana jioni.
 
Hii ndoto itakuwa na maana gani?
Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa nasema huyu simtambui kabisa ndio kwanza tumeonana leo.
Muda nilikuwa nakimbia Suruali yangu ilikuwa imekaa vibaya hivyo nilikuwa nakimbia kwa shida lakini pia nilikuwa nimevaa begi lenye uzito.
Mshana Jr
Rakims
Hii ndoto hiko wazi kabisa! Unakimbizwa na roho ya ukichaa/uchizi! Uenda hiko ndani ya familia/ukoo na wewe ndo mlengwa. Hujawahi kuona mtu alikuwa mzima kabisa lakini akafika ukubwani akawa chizi? Kama wewe ni Mkristo, vunja maagano ya dhambi/uovu wa kurithi vinginevyo unalo!
Na kuonyesha imeishaanza kukumyemelea ni kitendo cha kuvukwa na suruali ili uonekane utupu wako tendo linaloambatana na haibu! Uchizi uambatana na kuwa utupu!
 
Jitahidi uwe unakula chakula cha wastani tu kabla ya kulala. Ukila na kushiba sana chakula cha usiku, matokeo yake ndiyo hayo sasa!
 
Ina maana una tatizo la kisaikolojia la kuwa na hofu. Find a way to achieve inner peace.
 
Ndoto ilikua inatokea wapi? Yaani mazingira ya nyumbani? Kazini au kwa wazazi wako au wapi?
Muhimu sana kujua mazingira kwa sababu hayo ndio yataeleza kwa nini kichaa akukimbize?
Je kichaa ni mtu unamfahamu? Alikua analalamika khs nini? Hicho alichokuwa anakilalamikia ndio sababu ya kukukimbiza. Fanyia kazi hayo malalamiko kabla hali haijawa mbaya
 
Hii ndoto itakuwa na maana gani?

Kichaa alikuwa kifua wazi, muda alikuwa ananikimbiza alikuwa anaongea kama analalamika, kuna mtu pembeni akaniambia kuwa nyie mtakua mnajuana moyoni mimi nikawa nasema huyu simtambui kabisa ndio kwanza tumeonana leo.

Muda nilikuwa nakimbia Suruali yangu ilikuwa imekaa vibaya hivyo nilikuwa nakimbia kwa shida lakini pia nilikuwa nimevaa begi lenye uzito.

Mshana Jr
Rakims
Changamoto za Kiroho. Roho inapoacha mwili na kwenda kuzurura usiku huko duniani.. Lakini pia kunaweza kuwa na tafsiri nyingine kwamba kuna tatizo linataka kujitokeza lakini unajitahidi kulikwepa kwa nguvu kubwa
 
Pole kwa ndoto hii huenda ungespecifie siku na muda uliyoota ningekufasiria vema lakini ni ndoto ambayo inaonyesha ni mtu ambaye katika maisha yako ya kipindi unaota ulikuwa ama bado unaendelea kubeba watu ambao hawana faida na wewe,

Jifunze kupunguza watu na kujuana sana na circle yako iwe ndogo.

Rakims S.
 
Back
Top Bottom