Nimeota nakula keki na vyakula vingine ambavyo sikumbuki, ndoto hii ina maana gani?

Nimeota nakula keki na vyakula vingine ambavyo sikumbuki, ndoto hii ina maana gani?

LoneJr

Senior Member
Joined
May 18, 2024
Posts
169
Reaction score
247
Wakubwa, kwema?

Naomba msaada wa hii ndoto, imeota nikiwa nakula (vingine sikumbuki).

Cha ajabu ni ndani ya dakika 17 tu nilizopitiwa na usingizi, hii imekaaje?
 
Ulikuwa unakula keki kwenye tukio gani? Birthday, harusi, msiba? Au hapo magetoni tu?
 
Back
Top Bottom