illusion??Leo nimeota naongea na yesu Kristo ameniambia mambo mengi sana ila mengine ameniambia nisiseme.
Amesema kuanzia jumatatu atakuja
Make sure mnatenda mema
Seriousillusion??
Umesahau kusema sadaka tunarusha kwenye namba ipi nabiiLeo nimeota naongea na yesu Kristo ameniambia mambo mengi sana ila mengine ameniambia nisiseme.
Amesema kuanzia jumatatu atakuja
Make sure mnatenda mema
Angekuwa hindu ndiyo angemuota krishnaungekuwa muislamu ungemuota allah, ungekuwa buddhist ungemuota krishna
usitutishe.
Mtoa mada atakuwa anatania tu.. sidhani kama yupo seriousUza kila kitu ulichonacho utoroke hiyo sehemu unayoishi.Karibia utaanza kuokota makopo na kwenda kuyauza.
NB;Alisema hata yeye haijui hiyo siku ya mwisho ingawa alisisitiza mkeshe na kuomba huku taa zenu zikiwa na mafuta ya kutosha kumpokea bwana harusi.
I am sorry hii ni serious defamation, pls remove this imageπ‘π‘
Umepigwa,huyo siyo Yesu.Ndio ila ndevu amenyoa
Maono uja kama ndotoDuh! Kumbe ndoto, nilidhani maono!