Ndugu habarini,
Nina matumaini kuwa wazima,Naombeni mnisaidie kunipa maana ya ndoto Nimeiota jana Usiku.
Ipo hivi,niliota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu baada ya muda yule paka akapotea.
Ndoto nyingine pia niliota kwenye tupo kwenye gari aina ya costa nipo mimi Pamoja na wanafunzi niliomaliza nao miaka hiyo na Abiria wengine Gari ilikuwa inakimbia sana mimi na mwenzangu mmoja tukaruka kupitia dirishan baada ya muda mfupi gari ikapasuka taili na kupata ajali na kudumbikia mtoni. Baada ya Hapo NdotO ikaisha
Hizi zinamaanisha nin? Naomba mnisaidie