Nimeota ndoto nafanya mapenzi

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Wakuu hongereni washindi.

Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nafanya mapenzi na shemeji yangu mke wa rafiki yangu.

Wakati wa maandalizi ile namvua chupi ulimwagika ute wa kutosha kama maji sijajua ilikuwa ina maana gani.
Huyo shemeji yangu nina muda mrefu sana sijawaliana naye wala kuonana naye tupo mikoa tofauti.

Ingawa kuna kipindi fulani nilifikia kwa huyo rafiki yangu kikazi huyo shemeji yangu alinizoea hata wakizinguana na mumewe basi angalau mimi nilikuwa nikimtia moyo asijali.

Sikuwahi kuwa na mawazo ya kumla japo mi sjui kwa upande wake yeye sasa.

Je, wajuba hii ndoto ina maana gani?
 
Spiritual wife kakuvaa
Hilo jambo Lifanyie kazi mapema
 
Sali sana kabla ya kulala hiyo evil spirit itakuaffect Hadi kwenye mambo ya kiuchumi, na ujiepushe na dhambi
 
Kiimani watakuambia ni pepo mchafu, ila kisayansi, tunasema ulikula chakula kizuri kikakufanya ulale vizuri, na ubongo ukawa unacheua kile ukiwazacho.​
 
Acha kuwaza ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…