Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiHaina maaana yeyote piga kazi.
KATAA UZINZI
Dalili ya wew kufumuliwa Linda [emoji23][emoji23][emoji23] epuka uyoo mke ya mtu.Wakuu hongereni washindi.
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nafanya mapenzi na shemeji yangu mke wa rafiki yangu.
Wakati wa maandalizi ile namvua chupi ulimwagika ute wa kutosha kama maji sijajua ilikuwa ina maana gani.
Huyo shemeji yangu nina muda mrefu sana sijawaliana naye wala kuonana naye tupo mikoa tofauti.
Ingawa kuna kipindi fulani nilifikia kwa huyo rafiki yangu kikazi huyo shemeji yangu alinizoea hata wakizinguana na mumewe basi angalau mimi nilikuwa nikimtia moyo asijali.
Sikuwahi kuwa na mawazo ya kumla japo mi sjui kwa upande wake yeye sasa.
Je, wajuba hii ndoto ina maana gani?