Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
Wakuu poleni na majukuu leo mwenzenu nimeota nakabwa shingo mpaka kupoteza na pumzi usiku wa manane lakini wakati nakabwa niliona ndotoni sura kama Mshana jr akiwa na miwani yake ile ya tinted rangi nyeusi ndugu zangu hii ndoto ina maana gani nafikiria kuwatafuta cc mtu mzito na jichawi wanipe msaada tafadhali.