mshana jr unatafutwa hukuWakuu poleni na majukuu leo mwenzenu nimeota nakabwa shingo mpaka kupoteza na pumzi usiku wa manane lakini wakati nakabwa niliona ndotoni sura kama Mshana jr akiwa na miwani yake ile ya tinted rangi nyeusi ndugu zangu hii ndoto ina maana gani nafikiria kuwatafuta cc mtu mzito na jichawi wanipe msaada tafadhali.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu poleni na majukuu leo mwenzenu nimeota nakabwa shingo mpaka kupoteza na pumzi usiku wa manane lakini wakati nakabwa niliona ndotoni sura kama Mshana jr akiwa na miwani yake ile ya tinted rangi nyeusi ndugu zangu hii ndoto ina maana gani nafikiria kuwatafuta cc mtu mzito na jichawi wanipe msaada tafadhali.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ebu angalia Vizur au ushaingiliwa na popobawa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Makubwa haya wewe ni wa kiume?
Unajichekesha nini wacha uchawi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Unajichekesha nini wacha uchawi