Nimeota ndoto nakabwa na Mshana jr

unabidi ufanye juu chini uweze kuonana naye upate kujua ukweli kutoka kwake au ulikuwa unamdiskac sana mda wa mchana ndiomaana akakujia kwenye ndoto ucku
 
We jamaa weka picha tuone kama Kuna alama za mikono ili fingerprint ni za mshana
 
Nimeshtuka, nimeona kama unabakwa
 
nilikuwa msomaji tu kwa miaka mi3 ila ikabdi nijiunge kabisa ili niujue vizuri huo ushrikina wakutoka nje ya mwili heshma kwako bro maana umekuwa chachu yakuipenda jf
 
nilikuwa msomaji tu kwa miaka
mi3 ila ikabdi nijiunge kabisa ili
niujue vizuri huo ushrikina
wakutoka nje ya mwili heshma
kwako bro maana umekuwa
chachu yakuipenda jf
 
nilikuwa msomaji tu kwa miaka mi3 ila ikabdi nijiunge kabisa ili niujue vizuri huo ushrikina wakutoka nje ya mwili heshma kwako bro maana umekuwa chachu yakuipenda jf
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji125] [emoji23]
 
Kweli, masikini hana njozi njema hata siku moja.

Mshana _ usiku na miwani mieusi !!!???
Safari za masikini nyingi ni za hasara.
watu wazima utawajua tu kwa coment zao kama shairi vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…