Nimeota ndoto nakabwa na Mshana jr

umekosea heading...ungeandika " WALE WOTE WANAOKABWA NA MSHANA JR NDOTONI TUKUTANE HAPA"
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji144] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hii sasa kali.......kakukaba akiwa amevaa miwani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ajabu kwel
 
Hujahisi kulowana sehem yeyote ya mgongoni kwako ? Maana kukabwa na JINAMIZI lazima kuna kitu anakitaka kwa nguvu kutoka kwako,,, siku ingine usifanye ubishi,, Unapaswa kutulia JINAMIZI limalize haja zake,,,
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…