TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Nimeota namuuliza swali Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwamba Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?
Nyerere akashindwa kujibu, akalia sana akaanza kusema yeye kama mjenga misingi alifanya makosa makubwa sana kuiacha CCM kwenye genge la wahuni, na kuwanyima wananchi katiba inayohost bila upendeleo vyama vyote vya siasa