Nimeota ndoto naokota pesa

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Wakuu heri, nimeota ndoto npo na mzee anayefanana na marehemu mengi, nikawa namueleza changamoto zng za kutafuta ajira, akanpeleka kwenye ofisi moja akanambia nitafanya kazi hapo. Wakati tunarudi akawa ananipa pesa za noti elfu tano tano kwa kuzdondosha chini mi naokota, niliokota mpaka likawa burungutu la kushika kwa mikono miwili. Je ni nini tafsiri ya ndoto hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…