handsome boy wa jf
Senior Member
- Jan 2, 2022
- 163
- 350
Pira magimbi napenda simba na yanga wapite wakutane fainali Ili kelele ya nani mbane ziishe mapemaSio wewe tu. Kila mtu ameota hivyo
Jina lako linasadifu.....
Unachoandika.
Umeniwahi kumjibu huyu kapumbu wa primary! Jina linasadifu u nyoko wake!Jina lako linasadifu.....
Unachoandika.
Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.