Nimeota ndoto Simba anatolewa na Namungo kombe la Mapinduzi

Nimeota ndoto Simba anatolewa na Namungo kombe la Mapinduzi

Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.

Namungo yako ishatiwa 2 huko…akili zako za kiutopolo bado zinakuaminisha namungo itafunga goli mbili?
Utelembwe fc pole sana bhana, maana mmepigwa na kitu kizito hadi mmepoteana!!
Kichuya wako out ulimi nje…!!
 
Back
Top Bottom