Hawezi kwakuwa tayari mwiko umeziba TonduEndelea kuota ila angalia usishushe mzigo kitandani
Sawa, oteshwa upo chooni unajisaidiaWakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo ... na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli
Hawezi kwakuwa tayari mwiko umeziba Tondu
View attachment 2076552
Yule golikipa kaweka rekodi ya dunia. Ndani ya dakika 5 kachezea magoli 9
HahahahaYule golikipa kaweka rekodi ya dunia. Ndani ya dakika 5 kachezea magoli 9
siku ukiota unaliwa kiboga???Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Mchongo mpaka kwenye ndoto.Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.