Nimeota ndoto Simba anatolewa na Namungo kombe la Mapinduzi

Endelea kuota ila angalia usishushe mzigo kitandani
Hawezi kwakuwa tayari mwiko umeziba Tondu
IMG-20220110-WA0173.jpg
 
Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
siku ukiota unaliwa kiboga???
 
Wakuu aisee kuna kandoto nimekaota jana kuwa leo Simba inatolewa na Namungo kombe la mapinduzi wanafungwa goli mbili, moja goli la ushindi la Namungo linafungwa na Kichuya na mimi nikioneshwaga kitu huwaga kinatokea kweli aisee, wakuu leo msishangae mkiona simba katolewa leo.
Mchongo mpaka kwenye ndoto.
 
Back
Top Bottom