Nimeota ndoto simba imeshinda

ndenjii handsome

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
647
Reaction score
706
Mimi ni shabiki wa yanga ila hiyi ndoto nimeiota jana usiku kuamkia leo

Ngoja tuone
 
Mimi ni shabiki wa yanga ila hiyi ndoto nimeiota jana usiku kuamkia leo

Ngoja tuone
Usituchurie mkuu,,

Kuna mwenzio aliota kaokota fuko la pesa halafu limetoboka ,
Akazuia kwa vidole sehemu iliyotoboka ili pesa zisianguke..

Asubuhi anakutwa kajididimiza dole gumba matakoni.
Pesa hakuna.

Ndoto ni mauzauza tu...hakuna ukwl wowote.
 
Ebwana sijui hata mm ni stress za mechi nimeota simba kafunga moja bila 1-0 tena kidogo ngumi zitokee.Ee Mungu saidia hii ndoto iwe kweli.
 
Na mm nimeota simba ameshinda kwa 2-1, ila mara nying ndoto zangu hasa hizi match huwa vice versa.

mimi ni Simba.
 
Usituchurie mkuu,,

Kuna mwenzio aliota kaokota fuko la pesa halafu limetoboka ,
Akazuia kwa vidole sehemu iliyotoboka ili pesa zisianguke..

Asubuhi anakutwa kajididimiza dole gumba matakoni.
Pesa hakuna.

Ndoto ni mauzauza tu...hakuna ukwl wowote.
Aiseeee
 
Wakazi wa Dar sehemu ipi nzuri kwa kwenda kuangalia mpira?? Kwa wilaya ya Kinondoni
 
Lala tena utuambie manara alisemaje baada ya game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…