ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 647
- 706
Mimi ni shabiki wa yanga ila hiyi ndoto nimeiota jana usiku kuamkia leo
Ngoja tuone
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usituchurie mkuu,,Mimi ni shabiki wa yanga ila hiyi ndoto nimeiota jana usiku kuamkia leo
Ngoja tuone
3-1Mimi ni shabiki wa yanga ila hiyi ndoto nimeiota jana usiku kuamkia leo
Ngoja tuone
AiseeeeUsituchurie mkuu,,
Kuna mwenzio aliota kaokota fuko la pesa halafu limetoboka ,
Akazuia kwa vidole sehemu iliyotoboka ili pesa zisianguke..
Asubuhi anakutwa kajididimiza dole gumba matakoni.
Pesa hakuna.
Ndoto ni mauzauza tu...hakuna ukwl wowote.
Mkuu mm ndo wa kwanza kuleta ndoto ya simba kuchukua kombe humu jukwaani, na Simba atashinda kwa penalty shotout