Nimeota ndoto

Nimeota ndoto

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Nimelala during the daytime, baada ya breakfast leo, nimelala, nimeota ndoto.

Katika hiyo ndoto mimi ni monk,nipo darasani na monks wengine,tunamsikiliza mwalimu wa monks.

Halafu mini nimeondoka. Yule mkufunzi akasema,"Huyu anapenda sana glucose. "

Pale kuna discipline kali,haiwezekani kuondoka,lakini mimi nimetoka nakwenda mbele bila kugeuka nyuma, najidai sijasikia ninavyoitwa nirudi.

Halafu nikaenda mbele nikapita kwenye fringes za mji,nikamwona mtu kichaa,amekaa,anakula vyakula vya jalalani. Yule mental aliponiona alitaka kunishambulia,lakini nikapita without incident,halafu nikaenda mbele,nilikuwa naitafuta nyumba ya watoto yatima

Kwa nikaamka nikacheki maana ya "glucose". Maana yake inakuwa kama vile ni sukari,lakini maana yake ni nini hasa.

"Glucose" nikaona katika dictionary kwamba ni vyakula vya wanga( carbohydrates) ambavyo vinabadilishwa na mwili kuwa glucose(sukari). Ni kati ya vyakula vitatu vikuu anavyokula binadamu: vingine vikiwa ni protein na fats.

Kwa hiyo ni ndoto tu,hakuna utabiri.

Monk, by the way, ni mtawa katika dini ya Buddha
Halafu nimeota ndoto leo asubuhi,mimi siyo monk tena. Mimi ni mtalii katika five-star hotel. Katika ile hotel kuna bafu ,sink,basin kubwa la kukaa watu wanne. Sasa sijui ni bafu la aina gani. Presumably wanapokuwa mle ndani wanakuwa wamevaa bukta. Halafu kule mbele kuna hoteli nyingine,nayo five-star,nayo ina mabafu ya watu wanne,halafu tbere are many very young boys there. Now,what would little boys be doing in a five-star hotel?
 
Janabi atakuwa kakuathiri sana mleta mada.
 
Nimelala during the daytime, baada ya breakfast leo, nimelala, nimeota ndoto.

Katika hiyo ndoto mimi ni monk,nipo darasani na monks wengine,tunamsikiliza mwalimu wa monks.

Halafu mini nimeondoka. Yule mkufunzi akasema,"Huyu anapenda sana glucose. "

Pale kuna discipline kali,haiwezekani kuondoka,lakini mimi nimetoka nakwenda mbele bila kugeuka nyuma, najidai sijasikia ninavyoitwa nirudi.

Halafu nikaenda mbele nikapita kwenye fringes za mji,nikamwona mtu kichaa,amekaa,anakula vyakula vya jalalani. Yule mental aliponiona alitaka kunishambulia,lakini nikapita without incident,halafu nikaenda mbele,nilikuwa naitafuta nyumba ya watoto yatima

Kwa nikaamka nikacheki maana ya "glucose". Maana yake inakuwa kama vile ni sukari,lakini maana yake ni nini hasa.

"Glucose" nikaona katika dictionary kwamba ni vyakula vya wanga( carbohydrates) ambavyo vinabadilishwa na mwili kuwa glucose(sukari). Ni kati ya vyakula vitatu vikuu anavyokula binadamu: vingine vikiwa ni protein na fats.

Kwa hiyo ni ndoto tu,hakuna utabiri.

Monk, by the way, ni mtawa katika dini ya Buddha.
Wewe ni mkaidi na mjivuni,
 
Hizo ni movie za hong back upizoangalia
 
Monk ni nini?
 
Back
Top Bottom