Noel wa ruben
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 364
- 515
Haina maana nzuri. Ni vema ukamwomba Mungu lolote baya linalotaka kukutokea likuepukeNdug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana...
Hiyo Ndoto Ni Mbaya Sana Kama Uliota Unajisaidia Kwenye Choo Kichafu Uhashilia Kuchafukwa Kwa Nyota, Mikosi, Kuharibikiwa Yani Piga Goti Usali Omba Msaada WA MUNGU Maana Malaika WA MUNGU Utujulisha Yale Yatakayo Tupata Kabla Kwa kupitia Ndoto, jicho kucheza Na Ishara Nyingine.Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana. Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
Huyu ni inspekta? 😄Yaani umekunya!!!!
View attachment 2347275
KweliPia kujisaidia haja kubwa kwa tafirsi ingine rahisi ni kufunguliwa. Inategemea na contents za ndoto. Maana ndoto kuanzia mazingira, rangi, emotion etc lazima zijumuike kwenye tafsisi ya ndoto
Tarajia kupata ujauzito wa mapacha...hongera sana mkuuNdug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.
Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
HapanaUlishusha kitu au???
Choo kilikua kisafi mkuu.Hiyo Ndoto Ni Mbaya Sana Kama Uliota Unajisaidia Kwenye Choo Kichafu Uhashilia Kuchafukwa Kwa Nyota, Mikosi, Kuharibikiwa Yani Piga Goti Usali Omba Msaada WA MUNGU Maana Malaika WA MUNGU Utujulisha Yale Yatakayo Tupata Kabla Kwa kupitia Ndoto, jicho kucheza Na Ishara Nyingine.
Mara nyingi mimi ndoto hizo hunitokea nikiwa kweli nimebanwa na haja kwa maana nikiamka nakuwa mkojo umenibana au haja kubwa hivyo hapo naelewa kwanini nimeota hivyo, ila kama hukuwa umebanwa na haja na ukaota hivyo basi hebu angalia kwanza unapitia hali gani kipindi hiki?Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.
Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.