Nimeota nimejisaidia haja kubwa

Nimeota nimejisaidia haja kubwa

Noel wa ruben

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2020
Posts
364
Reaction score
515
Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.

Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
 
Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana. Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
Hiyo Ndoto Ni Mbaya Sana Kama Uliota Unajisaidia Kwenye Choo Kichafu Uhashilia Kuchafukwa Kwa Nyota, Mikosi, Kuharibikiwa Yani Piga Goti Usali Omba Msaada WA MUNGU Maana Malaika WA MUNGU Utujulisha Yale Yatakayo Tupata Kabla Kwa kupitia Ndoto, jicho kucheza Na Ishara Nyingine.
 
Yaani umekunya!!!!
20220813_204348.jpg
 
Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.

Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
Tarajia kupata ujauzito wa mapacha...hongera sana mkuu
 
Hiyo Ndoto Ni Mbaya Sana Kama Uliota Unajisaidia Kwenye Choo Kichafu Uhashilia Kuchafukwa Kwa Nyota, Mikosi, Kuharibikiwa Yani Piga Goti Usali Omba Msaada WA MUNGU Maana Malaika WA MUNGU Utujulisha Yale Yatakayo Tupata Kabla Kwa kupitia Ndoto, jicho kucheza Na Ishara Nyingine.
Choo kilikua kisafi mkuu.
 
Basi SAWA kabisa
 
Attachments

  • 20211212_201021.jpg
    20211212_201021.jpg
    50.3 KB · Views: 44
  • 20211227_164923.jpg
    20211227_164923.jpg
    32.8 KB · Views: 36
  • 20220518_101129.jpg
    20220518_101129.jpg
    87.7 KB · Views: 49
Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.

Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
Mara nyingi mimi ndoto hizo hunitokea nikiwa kweli nimebanwa na haja kwa maana nikiamka nakuwa mkojo umenibana au haja kubwa hivyo hapo naelewa kwanini nimeota hivyo, ila kama hukuwa umebanwa na haja na ukaota hivyo basi hebu angalia kwanza unapitia hali gani kipindi hiki?
 
Back
Top Bottom