Kwahiyo hawa masaikolojia ambao hutafsiri ndoto unataka kusema wanaweza kuwa wamechanganyikiwa au ni washirikina?Ukianza kuzifuatilia sana ndoto kuna mawili uwe chizi au uwe mshirikina.....
malizia basi kwamba ulijinyea papaa kimba!!!,manake kawaida ukiota umejinyea lazima kimba likutoke,ata ukiota umejikojolea lazima mkojo ukuchomoke!!Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.
Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
Mkuu hiyo ni dalili kuwa utapata pesa nyingi sana, utarudi hapa kudhibitisha hili.Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.
Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
Wana elekea huko au tayari wapo hukoKwahiyo hawa masaikolojia ambao hutafsiri ndoto unataka kusema wanaweza kuwa wamechanganyikiwa au ni washirikina?
Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.
Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo inaashiria mabaya naomba nisaidiwe namna ya kutatua changamoto hiyo.
Kwanini unaona kuwa hao wanasaikolojia wanaelekea kuwa washirikina?Wana elekea huko au tayari wapo huko