RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Aiseee kulala lala mchana jau sana leo nikiwa nimelala nikaota nimepigiwa simu na kaka yangu ninayemfuatia kuzaliwa akidai tumefiwa na mama yetu mkubwa japo hatruna mama mzazi wala mama wakubwa wote waameshatangulia mbele za haki na tumebaki na mama mdogo tu/mlezi na akaiunganisha iyo simu na ya kaka yetu mkubwa aisee bro alikuwa analia balaa anavyonipa izo taarifa uku akilalamika amezoea akienda home anafikia kwa mama mkubwa na mama kaondoka atakuwa anafikia wapi?kitu kilichonifanya na mimi kulia sana ndotoni
wakuu hii ndoto jau sana na sijui inamaanisha nini maana hapo kwenye niliyeota kafariki imenipa utata ni nani kati ya mama mdogo au mkubwa ,wakati kiuhalisia mi sina mama wakubwa
sema nilivyostuka nilipiga tu maombi basi.