Nimeota nimeua simba halafu watu wakaninyanyua juu na kunishangilia kama shujaa, ndoto hii ina maana gani?

mbasa ya konge

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
207
Reaction score
481
Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi".

Asubuhii hii nimemshirikisha ndugu yangu mmoja kuhusu hiyo ndoto na amaitafasiri kwa kuniambia kuwa nitakuwa raisi mwaka ujao wa 2025 kwa sababu ndoto hiyo inafanana na Ile aliyoota Yoseph mtoto wa Yakobo baadaye akawa kiongozi mkubwa katika nchi ya msiri.

Wajuzi wandoto nisaidieni maana ya hiyo ndoto au nikubali maana iliyotolewa na ndugu yangu na nianze kujiandaa kisaikolojia kuwa ndiye rais ajaye wa 2025.
 
Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi".

Asubuhii hii nimemshirikisha ndugu yangu mmoja kuhusu hiyo ndoto na amaitafasiri kwa kuniambia kuwa nitakuwa raisi mwaka ujao wa 2025 kwa sababu ndoto hiyo inafanana na Ile aliyoota Yoseph mtoto wa Yakobo baadaye akawa kiongozi mkubwa katika nchi ya msiri.

Wajuzi wandoto nisaidieni maana ya hiyo ndoto au nikubali maana iliyotolewa na ndugu yangu na nianze kujiandaa kisaikolojia kuwa ndiye rais ajaye wa 2025
Ndoto hazitangazwi ovyo umeshaukosa uraisi.
 
Back
Top Bottom