mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 207
- 481
Vitumbua au kitumbuaKamejishibia kenyewe chai na vitumbuaπ
Ndoto hazitangazwi ovyo umeshaukosa uraisi.Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi".
Asubuhii hii nimemshirikisha ndugu yangu mmoja kuhusu hiyo ndoto na amaitafasiri kwa kuniambia kuwa nitakuwa raisi mwaka ujao wa 2025 kwa sababu ndoto hiyo inafanana na Ile aliyoota Yoseph mtoto wa Yakobo baadaye akawa kiongozi mkubwa katika nchi ya msiri.
Wajuzi wandoto nisaidieni maana ya hiyo ndoto au nikubali maana iliyotolewa na ndugu yangu na nianze kujiandaa kisaikolojia kuwa ndiye rais ajaye wa 2025
Muombe kazi ya upishi ikulu akipata uraisi.Za asubuhi mheshimiwa.
Huyo hajui kupikaMuombe kazi ya upishi ikulu akipata uraisi.
Sipo mrego wa siasa wowoteUpo mrengo wa kisiasa?
Hivi ukisimulia nini kinatokea? Au ndio unapoteza mambo mazuri πWanasema usimsimulie mtu ndoto yako ya jana usiku
Unakosa Dili ππHivi ukisimulia nini kinatokea? Au ndio unapoteza mambo mazuri π
Serious?Unakosa Dili ππ
Marais wapo wengi, wewe ni rais ya simbaSipo mrego wa siasa wowote
Exactly π―Serious?