Nimeota nimeua simba halafu watu wakaninyanyua juu na kunishangilia kama shujaa, ndoto hii ina maana gani?

Hata kama siyo kuwa rais wa nchi kuna vita kubwa utaishinda ktk maisha yako pengine ni muumini wa kujichua hahaaaa ukaacha,yamkini kuna mambo ya kisw unachezewa nayo ukayashinda,ama kuna umasikini kwenu ww ukapigana ndio ukawa yusuphu wao.....
 
Unaweza pia kuwa rais wa vikoba mtaani kwenu,so unless ww ni Mwigulu keeps dreaming son.
 
Maana yake umeota ndoto simba kafungwa na yanga, maana ndoto nyingi huwa ni kinyume chake.
 
We ni kolo au mwananchi!?
 
Ndoto nyingine zinakuja lakini kutimia siyo leo kwahiyo usiwe na hraka subiri
 
Ndoto yakuona umeuwa simba inaanisha kuna adui mkubwa yako ambaye nimkali kama simba na umefanikiwa kumuangamiza,
 
We jisemeshe tu unataka kua rais uje usombelewe na gari halina plate namba ukaote vizuri huko kusikojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…