Nimeota Philip Mbangula anapiga shuti nje ya 18 kipa anajitahidi kuruka lakini anashindwa

dem boy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
6,580
Reaction score
15,739


Leo saa 7 mchana nipo kwenye daladala nikapitiwa na usingizi mzito sana,kwa mda mchache tena usingizi ulikuja ghafla sana lakini kwenye usingizi huo niliota kandoto nacho kalikuwa kafupi tu kama ka dakika 3,niliota Philip Mbangula anapiga shuti nje ya 18 kipa anajitahidi kuruka lakini anashindwa kuufikia mpira na mpira kutinga wavuni,punde mpira umeisha mashabiki wanaingia uwanjani wanawakimbiza na bakora wachezaji waliofungwa na koplo Mbangula

SIOTAGI NDOTO SANA NIKILALA MCHANA LAKINI MARA NYINGI NIKIOTGA MCHANA NILICHOOTA HUTOKEAGA KWELI.TUOMBE MUNGU HII NDOTO ISIWE KWELI WATU WATAUANA KESHO

ni hayo...GUVU MOYA
 
 
Yanga na Simba ni chanzo cha tatizo la afya ya akili. Leo Wazee wa Simba nao wanaitisha press conference kuongea upuuzi. Wanataka na kuitisha na maandamano. Wanaacha kuandamana maisha ni magumu, watu wanadhurumiwa haki zao za kuishi. Watanzania tunalaaniliwa kijinga sana. Ugumu wa maisha na stress zake haziondolewi na Simba au Yanga. Na Serikali inavyotuona mazuzu inatia hamasa kwenye hizi timu tupate temporary comfort while tunaendelea kuumia na kudidimia 🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
 
Yanga na Simba ni chanzo cha tatizo la afya ya akili. Leo Wazee wa Simba nao wanaitisha press conference kuongea upuuzi. Wanataka na kuitisha na maandamano.
Kwahyo hauko upande wa wazee?
 
Wachawi mmeanza tena. Baada ya mechi Mzize alikiri jinsi kufuata maelekezo ya 'Babu' kulivyowafanya waibuke na ushindi J'mosi. Nje ya Uwanja nyie Wanga mna mambo mengi sana.
 
We dem mvulana bado umelala 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…