Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka ukojoe ulale aiseeView attachment 3131866
Leo saa 7 mchana nipo kwenye daladala nikapitiwa na usingizi mzito sana,kwa mda mchache tena usingizi ulikuja ghafla sana lakini kwenye usingizi huo niliota kandoto nacho kalikuwa kafupi tu kama ka dakika 3,niliota Philip Mbangula anapiga shuti nje ya 18 kipa anajitahidi kuruka lakini anashindwa kuufikia mpira na mpira kutinga wavuni,punde mpira umeisha mashabiki wanaingia uwanjani wanawakimbiza na bakora wachezaji waliofungwa na koplo Mbangula
SIOTAGI NDOTO SANA NIKILALA MCHANA LAKINI MARA NYINGI NIKIOTGA MCHANA NILICHOOTA HUTOKEAGA KWELI.TUOMBE MUNGU HII NDOTO ISIWE KWELI WATU WATAUANA KESHO
ni hayo...GUVU MOYA