Nimeota Simba atapigwa 5 ila atafanikiwa kurudisha kipindi cha pili, Sijajua ni kati ya Horoya au Raja Casablanca

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Wakuu,

Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca.

NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
 
Wakuu,
Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca.

NB: ni ndoto tu, No guarantee.
Mkuu lala tena uote,yafike hata saba
 
Wakuu,
Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca.

NB: ni ndoto tu, No guarantee.
Katika ndoto hiyo hakukuwepo kipengele cha kwenda kujisaidia haja ndogo?
 
Kolo FC achomoe goals zote hizo.....ama kweli hyo ni ndoto
 
Wakuu,
Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca.

NB: ni ndoto tu, No guarantee.
Ukilala na njaa lazima uote ndoto za kifala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…