Nimeota Uhuru kaanguka vibaya

Nimeota Uhuru kaanguka vibaya

Kuna jamaa yangu amechizika anaamini yeye ni Uhuru na Huyu rais ana impersonate, akishalipuliza anataka kwenda Nairobi akaitizhe press conference. Bangi haijawahi kumwacha mtu salama
Mchangie nauli madam,itakuwa labda ni kweli. Press confrence si shida,nina jamaa yangu pale standard media.
 
Nini hii? Thanks almighty Kigamboni tally centre iko.
 
.. tusubiri muda ndio utaamua...ila jamaa atakuwa na ushindani mkali wakati huu...yaani this time it is 50/50...ila yeyote akishinda ni sawa tu...mi nataka kwanza watoe KDF Somalia..nilikuwa na support Kenyatta ila baada ya kusikia kuwa NASA watawatoa KDF Somalia wakishinda, naenda na NASA....KDF wanafaa waje walinde border ya Kenya na Somalia badala ya kuuwawa kule kama siafu....
Ha ha haaaaa!
 
Back
Top Bottom