Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Lol! U are kidding!Kuna jamaa yangu amechizika anaamini yeye ni Uhuru na Huyu rais ana impersonate, akishalipuliza anataka kwenda Nairobi akaitizhe press conference. Bangi haijawahi kumwacha mtu salama
Mchangie nauli madam,itakuwa labda ni kweli. Press confrence si shida,nina jamaa yangu pale standard media.Kuna jamaa yangu amechizika anaamini yeye ni Uhuru na Huyu rais ana impersonate, akishalipuliza anataka kwenda Nairobi akaitizhe press conference. Bangi haijawahi kumwacha mtu salama
Ha ha haaaaa!.. tusubiri muda ndio utaamua...ila jamaa atakuwa na ushindani mkali wakati huu...yaani this time it is 50/50...ila yeyote akishinda ni sawa tu...mi nataka kwanza watoe KDF Somalia..nilikuwa na support Kenyatta ila baada ya kusikia kuwa NASA watawatoa KDF Somalia wakishinda, naenda na NASA....KDF wanafaa waje walinde border ya Kenya na Somalia badala ya kuuwawa kule kama siafu....
Sam umeshtuka nn?
Akiamka mkumbushe amtafute Githeriman! Wawe bize naye kuhakisha wamevuruga amani ya tumbo zao kila uchao 24/7, hadi kieleweke!Ndoto za njaa.