atutaki maombi ya kinafki sisi bakini na maombi yenu wewe na Ngwena wako.😅Tuwaombee mkuu
atutaki uzalendo wa kinafki,subiri uone mbungi kutoka Lunyasi tunavyoheshimisha Africa mashariki na nchi za sadc kwa ujumla.Hapana mkuu.... uzalendo kwanza
Ukilala na njaa lazima uote ujinga ujinga mwingi tuWadau Baada ya kukesha usiku mzima nikipiga Dua Ili timu yetu ( ayubu fc) ishinde
Chaajabu asubuhi hii nimejiegesha kidogo huku usingizi ukinichukua ... after while nimeota ndoto Kuna watu Wanashangilia Kwa kiarabu ....huku wengine wakizomea Kwa kiswahili na kung'oa viti na kurusha uwanjani....nmeshtuka sana Kwa kweli
Waarabu walikuwa wanasemaje hivi نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز.
Japo nmeshindwa kutafsiri hii ndoto
Mshana Jr ....mkuu nisaidie kutafsiri hii ndoto [emoji1666][emoji1666]
Lini Simba anakimbiaga mpambano!.Soon mtakimbia hapa jf[emoji23]
Ile uliyoahidi simba asipofungwa 3-0 na Power Dynamos, uliahidi kutoa burudaniHapana mkuu....Mimi siyo mpenzi wa burudan
kazi ya Sambabroketo😅😂Robertinho mwenyewe hana uhakika wa kutoboa