Nimeota wakishangilia Kwa kiarabu, huku wengine waking'oa viti

Nimeota wakishangilia Kwa kiarabu, huku wengine waking'oa viti

Wadau Baada ya kukesha usiku mzima nikipiga Dua Ili timu yetu ( ayubu fc) ishinde

Chaajabu asubuhi hii nimejiegesha kidogo huku usingizi ukinichukua ... after while nimeota ndoto Kuna watu Wanashangilia Kwa kiarabu ....huku wengine wakizomea Kwa kiswahili na kung'oa viti na kurusha uwanjani....nmeshtuka sana Kwa kweli

Waarabu walikuwa wanasemaje hivi نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز، نحن نفوز.
Japo nmeshindwa kutafsiri hii ndoto
Mshana Jr ....mkuu nisaidie kutafsiri hii ndoto [emoji1666][emoji1666]
Ukilala na njaa lazima uote ujinga ujinga mwingi tu
 
Robertinho mwenyewe hana uhakika wa kutoboa
kazi ya Sambabroketo😅😂
👇
images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom