Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Mbona umejificha uvunguni sasa [emoji23]Wadau Baada ya kukesha usiku mzima nikipiga Dua Ili timu yetu ( ayubu fc) ishinde
Chaajabu asubuhi hii nimejiegesha kidogo huku usingizi ukinichukua ... after while nimeota ndoto Kuna watu Wanashangilia Kwa kiarabu ....huku wengine wakizomea Kwa kiswahili na kung'oa viti na kurusha uwanjani....nmeshtuka sana Kwa kweli
Waarabu walikuwa wanasemaje hivi ูุญู ูููุฒุ ูุญู ูููุฒุ ูุญู ูููุฒุ ูุญู ูููุฒุ ูุญู ูููุฒ.
Japo nmeshindwa kutafsiri hii ndoto
Mshana Jr ....mkuu nisaidie kutafsiri hii ndoto [emoji1666][emoji1666]
NafuuzNahnu maana yake sisi hio nafwaz aje mwengn kutafsiri ๐
Nadhani mpaka sasa umeshapata tafsiri [emoji23]Wadau Baada ya kukesha usiku mzima nikipiga Dua Ili timu yetu ( ayubu fc) ishinde